Mara ya mwisho sensa ya aina hiyo ilifanyika mwaka 2013 iliyoonyesha idadi ya viwanda vilivyokuwepo ni 49,243 ndani yake ...
Ulega amesema ili kuwa na uchunguzi huru wa mwenendo wa tukio hilo, watachunguza pia mengine yanayoendelea katika mizani hiyo ...
Rais Samia amealikwa kama mgeni rasmi na anatarajia kuhutubia kwenye sherehe hizo za uapisho zitakazofanyika sambamba na ...
Tayari baadhi ya waliotangaza nia ya kuutaka urais kupitia vyama vyao, wameshaweka wazi vipaumbele vyao endapo watapewa ...
Kukamilika kwa ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga Juni 10, 2025, kutawezesha ndege aina ya Bombadier Q400 kuanza kutua ...
Wakati kutanua wigo wa wawalipa kodi ikiwa moja ya jambo linalopigiwa chapuo, Serikali imeanza kuwasajili watu wanaofanya ...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya maamuzi ya kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, ...
Dar es Salaam. Wakati ukaguzi unaofanywa na trafiki kwa magari ya daladala ukilalamikiwa na baadhi ya wamiliki wakidai ...
Kundi la waasi wa M23 limetangaza kuutwaa Mji wa Walikale nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuvifurusha vikosi vya Jeshi la Serikali ya nchi hiyo (FARDC).
Ili kuboresha mtandao wa barabara za vijijini na mijini, Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura) unatumia mbinu ...
Uamuzi huo ulipitishwa Desemba 2024 na Kamati Kuu ya chama hicho, kabla ya msimamo huo kuthibitishwa na Mkutano Mkuu Januari 21, 2025.
Katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13, wakiwemo waliokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), umeieleza Mahakama kuwa bado wanaendelea na uchunguzi dhidi ya kesi hiyo.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results