Mara ya mwisho sensa ya aina hiyo ilifanyika mwaka 2013 iliyoonyesha idadi ya viwanda vilivyokuwepo ni 49,243 ndani yake ...
Rais Samia amealikwa kama mgeni rasmi na anatarajia kuhutubia kwenye sherehe hizo za uapisho zitakazofanyika sambamba na ...
Ulega amesema ili kuwa na uchunguzi huru wa mwenendo wa tukio hilo, watachunguza pia mengine yanayoendelea katika mizani hiyo ...
Wakati kutanua wigo wa wawalipa kodi ikiwa moja ya jambo linalopigiwa chapuo, Serikali imeanza kuwasajili watu wanaofanya ...
Tayari baadhi ya waliotangaza nia ya kuutaka urais kupitia vyama vyao, wameshaweka wazi vipaumbele vyao endapo watapewa ...
Kukamilika kwa ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga Juni 10, 2025, kutawezesha ndege aina ya Bombadier Q400 kuanza kutua ...
Dar es Salaam. Wakati ukaguzi unaofanywa na trafiki kwa magari ya daladala ukilalamikiwa na baadhi ya wamiliki wakidai ...
Ili kuboresha mtandao wa barabara za vijijini na mijini, Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura) unatumia mbinu ...
Dereva anayetuhumiwa kutaka kulichoma moto lori baada ya kuiba mafuta yenye thamani ya Sh77.1 milioni, amekamatwa na polisi.
Safari yake ya utendaji katika wadhifa wa urais, ilianza na mashaka kutoka kwa baadhi ya wananchi, wakidhani uendelezaji wa ...
Nchi za Jumuiya ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimefumua upya mpango wa ununuzi wa pamoja wa bidhaa za afya (SPPS), unaoratibiwa ...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watatu wakiwemo walimu wawili kwa tuhuma za kubaka wanafunzi kwa nyakati ...